Wednesday 11th, December 2024
@MUSTAFA SABODO
Mkutano wa Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya Mtwara umefanyika leo May 3, 2023. katika ukumbi wa shule ya Sekondari Mustafa Sabodo ambapo waheshimiwa Madiwani wamefanikiwa kuwasilisha taarifa zao za kata kwa robo ya tatu kuanzia Januari hadi Machi
Mtwara.
Anuani ya posta: 528.
Simu ya Mezani: 023-2333928
Simu: 023-2333928
Barua pepe: dedmtwara@mtwaradc.go.tz
Copyright ©2023 MTWARA DC . All rights reserved.